Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Magufuli ampongeza Kagame kwa ushindi wa kishindo

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli kupitia ukurasa wake wa Twitter amempongeza Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa kuchaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa tatu na kumuahidi ushirikiano zaidi.

Wanyarwanda walipiga kura jana August 4, 2017 ambapo   Rais Kagame kupitia tiketi ya chama cha FPR ametangazwa mshindi wa kiti hicho kwa asilimia 98.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top