Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mama Sophia Simba atikisa CCM ... Wajumbe NEC waridhishwa nae



Kikao cha Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa leo tarehe 21/11/2017 kimemrudishia uanachama wake Bi Sophia Simba.

Awali Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi Taifa Dkt John P Magufuli aliwasomea barua wajumbe wa NEC barua ambazo ziliandikwa na Bi Sophia Simba kwa lengo la kuomba msamaha kwa kumkosea Mwenyekiti wa Chama, wajumbe wa kamati kuu, wajumbe wa NEC na Chama cha mapinduzi kwa ujumla.

Katika barua hiyo Bi Sophia Simba amesema pindi akikubaliwa uanachama wake ataendelea kua mwanachama mwaminifu kwa chama chake na yuko tayari kujitoa kwa chama chake kama ilivyo awali.

Nao wajumbe wa NEC kwa kauli moja waliridhia kurudishiwa uanachama wake mwana mama huyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top