Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DIRA MAGEUZI NA MAPINDUZI MAKUBWA YA KIFIKRA NA KIMFUMO YANAWEZA REJESHA HESHIMA YA UVCCM

Na Bombokojr Muheza, Tanga

*#Waporipori_Tukutane_Kazini*
Hii ni dhana Mpya ndani Ya *Chama Cha Mapinduzi* Ilioshika kasi mno katika dhana ya kuunga mkono juhudi na jitihada zinazofanywa na *Mh RAISI DR JPM Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi* katika kuleta Maendeleo kwa *TAIFA*
Mwanzilishi na Mbunifu wa Kauli hii Iliyokuwa maarufu kwa sasa ni Mwenyekiti Mpya wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi *UVCCM TAIFA ndug Kheri JAMES* Alikuja na Kauli hii Na Kuwaagiza Vijana Nchi Nzima *"WAKUTANE KAZINI"* Kutimiza Wajibu wao wa *KULIJENGA TAIFA* wakati akishukuru Mkutano Mkuu wa TISA wa *UVCCM TAIFA* alisema Yafuatayo *"Vijana Wenzangu Uchaguzi Umekwisha, Niwashukuru Nyote Kwa Kunichagua na Hata Ambao Hamkunichagua kwa Kutimiza Wajibu wa Kidemocrasia..Ni Seme Ahsanteni Sana, sasa Ni Wakati wa Kwenda Kufanya Kazi ya Kuijenga   UVCCM,CCM na TAIFA kwa Ujumla, vijana Wote NCHI NZIMA TUKUTANE KAZINI"*
huu Ndio ulikuwa Mwanzo wa Dhana hii Mpya inayotumiwa kwa sehemu kubwa na Viongozi mbalimbali Wabunge,Madiwani Mawaziri Watumishi wa Umma, wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya, madas na Maded Kwapamoja Wamekuwa wakinogesha utendaji kazi wao kwa DHANA Mpya ya *TUKUTANE KAZINI*
Wengi hawajui kwanini *Mwenyekiti Mpya wa UVCCM TAIFA* aliitumia Kauli hii, kwanza Aliitoa kauli hii Kuunga Mkono Kauli Mbiu ya *Mwenyekiti  wa CCM TAIFA mh RAISI DR JPM kauliya "HAPA KAZI"* Pili kwa kutambua Wajibu wa Vijana Katika Ujenzi wa Taifa Amewahimiza *"KUKUTANA KAZINI"* na Kufanya Kazi ya Kulijenga Taifa
*#Kwanini Waporipori*
Msamiati wa Waporipori Nalo Limeshika kasi nineno linaloonyesha utambulisho wa wanyonge walala hoi wavuja jasho na masikini wanaopambana na hali zao Kutimiza wajibu wao
Neno Hili lilikuja wakati wakampeni wakati ambao *Mwenyekiti KJ* alipokwenda kuomba kura kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Sita wengi wao walishangazwa na Umahiri wake katika Ujenzi wa hoja ila wengi wakashangaa amepata wapi ujasiri wa kiasi hicho
Tulikuwa kwenye Gari Kuukuu  na *Mwenyekiti Kheri JAMES.- KJ* tukiwa safarini njiani akanigeukia na kuniuliza swali " *Bomboko* hivi tutashinda Kweli, Nikamjibu kwa Kujiamini Kabisa *Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu* Kwakuwa wengi wanaimaani na Wewe basi Tumtangulize Mungu. Akaniuliza tena, lakini wenzetu wana kila kitu wana watu wakubwa nyuma yao wanawaunga Mkono, wanazunguka na misafara mikubwa mikoani  na magari ya kifahari, Nikamjibu sisi masikini na wanyonge wenzetu, Wao Mataikuni na Mabepari wenzao, mwisho wasiku wao wana pesa na Sisi Waporipori Tuna Mungu Jitihada haishindi Kudra *Mporipori Mwenzangu*" basi Mwenyekiti Akafurahishwa na Neno *"MPORIPORI"* ndio Msingi na Asili ya Neno *Mporipori na Tukutane Kazini*Ambalo kwa kiasi Kikubwa Limetamalaki.
Jana ni Siku ya kwanza kwa *Chairman Kheri James* kureport  Kazini, Uwepo wake katika Jumuiya ya Vijana Taifa Katika ziara zake Dodoma,Dsm, Zanzibar, Mwanza na Arusha ameoneka kutoa Dira Mpya na Mwelekeo Thabit wa Jumuiya yetu ya Vijana Ameonekana Kuwa Kiongozi Mwenye Maono Mapya, Fikra Mapya, Dhamira ya Kweli na Dhati Kuibadilisha *UVCCM KIMUUNDO NA KIMFUMO ili Kuendana na FALSAFA YA CCM MPYA*
Nyota Njema Huonekana Asubui. Naiona Jumuiya Mpya Imara na Yenye Nguvu Kupitia *Comrade Kheri James*
umadhubuti wa *UVCCM MPYA UPO KATIKA MAONO YAKE*, Kwa Muongozo alioutoa Jana wakati Akiongea na Watumishi Ameonyesha Njia na anaonekana *AMEDHAMIRIA MAGEUZI YA KIFIKRA NA KIMUUNDO NDANI YA JUMUIYA.*
*2017 - 2018*
*#Waporipori_Tukutane Kazini*
*Bombokojr*
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top