Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Chupa yenye ujumbe ndani yake iliyorushwa baharini yapatikana baada ya miaka 132


Chupa iliyorushwa katika bahari miaka 132 iliyopita,ikiwa na ujumbe ndani yake imepatikana katika kisiwa cha Wedge nchini Austalia.

Chupa hiyo iliyorushwa na meli ya Ujerumani,imepatikana baada ya miaka 132 katika kisiwa cha Wedge ambacho kiko kilomita 180 kutoka katika mji mkuu wa Perth nchini Australia.

Chupa hio imevunja rekodi ya ujumbe wa chupa mkongwe zaidi duniani.

Hapo awali ujumbe wa chupa mkongwe zaidi ulipatikana nchini Denmark baada ya miaka 108,miezi 3 na siku 18.

Chupa hiyo ilipatikana Denmark mwaka 1934.

chupa hiyo iliyopatikana sasa nchini Austalia itawekwa katika jumba la makumbusho la Australia kwa miaka 2.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top