Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ione hapa Ndege Mpya ya Boeing 787-8 iliyonunuliwa na Serikali ya Rais Magufuli

Image may contain: sky and outdoor

**Update kutoka Marekani**
•Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 imemaliza hatua zote muhimu za uunganishwaji wa vifaa vya ndani kwa mafanikio makubwa.
•Zoezi hilo lililoanza 4/5/2018 na kumalizika 21/05/2018 linatoa picha ya ndege hii kuweza kuwa delivered kabla hata ya tarehe tajwa (9/7/2018).
•Hatua inayofuata ambayo kimsingi ndiyo ya mwisho ni Pre Flight preparation, testing and certification. Pre flight prep zitaanza leo mpaka pale watakapojiridhisha na kuset tarehe ya deliv...ery.
•Ndege hii itakuwa na seat 22 za Business Class na seat 240 za Economy Class.
Heko kwa serikali ya JPM.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top