Katibu Mkuu kiongozi
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr.Abdullhamid Yahya Mzee akitoa ufafanuzi
kwa waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Ripoti ya kamati ya uchunguzi ya
kuzama kwa Meli ya M.V Skagit 18/07/2012 huko ukumbi wa idara ya habari maelezo
kikwajuni mjini Zanzibar .
Wandishi wa Habari
kutoka vyombo mbalimbali vya Habari hapa nchini wakipokea maelezo ya Ripoti
yakamati ya uchunguzi ya kuzama kwa meli ya M.VSkagit iliotokea tarehe
18/07/2012 mwakahuu .
Mwandishi wa Habari wa
channal ten Munir Zakaria akiuliza suali kwa katibu Mkuu kiongozi Dr.Abullhamid
Yahya Mzee juu ya Ripoti ya kamati ya uchunguzi ya kuzama kwa Meli ya M.V Skagit
katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda
.
Katibu Mkuu kiongozi Dr.
Abdullhamid Yahaya Mzee akionesha Ripoti kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani
juu ya kuzama kwa Meli ya M.V Skagit iliotokea tarehe 18/07/2012
mwakahuu.
Post a Comment