Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Telesphori Mkude wa
jimbo katoliki Morogoro wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya
Uaskofu wake (Silver Jubilee)zilizofanyika katika viwanja vya St.Peters
junior Seminary mjini Morogoro.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu
Katoliki wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 25(Silver jubilee)
ya Uaskofu wa Askofu Telesphori Mkude wa jimbo Katoliki Morogoro
zilizofanyika katika Viwanja vya Seminary ya St.Peters mjini Morogoro.
(Picha na Freddy Maro).
Post a Comment