Wikiendi
iliyopita waimbaji na waigizaji wa filamu kwa pamoja wakiwa kama wadau
wakuu wa sanaa ya Tanzania walikutana Dodoma kwa ajili ya kampeni ya
Naiaminia Tanzania baada ya kukamilika kwa tamasha lile lililofanyika
uwanjani lilifuatiwa na chakula cha usiku ambapo Mr President Jakaya
Kikwete aliwaalika wasanii mbalimbali.
Sasa unaambiwa katika ule muda wa kupiga piga picha ulipofika Ommy
Dimpoz alikuwa akihitaji sana kupiga picha na Rais kuna Waziri ambaye
Ommy Dimpoz alimuona kama anambania kupiga picha na Rais ndipo
akamwambia
‘Kaka we hujamzoea tu rais’ ndipo watu wote ikabidi
wacheke,msikilize Soudy Brown akiongea na Ommy Dimpoz.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.
Credit: millard ayo
Post a Comment