Miongoni
mwa mastaa ambao wanamake headline sana Tanzania ni pamoja na Ney wa
Mitego ambaye siku chache zilizopita aliwaonyesha waandishi habari
nyumba yake mpya aliyoinunua na kuimalizia ujenzi na baadhi ya vitu
vingine ikiwemo pia gari analotembelea kwa sasa ambalo ni Nissan Murano.
Leo kupitia You heard mpenzi wa Ney aitwae Siwema amehusishwa na
taarifa za kupiga picha za utupu ambazo zimesababishwa kufukuzwa kazi
kwenye kampuni ya Shirika la ndege alilokua anafanya kazi ambapo Ney
alipopigiwa simu haya ndiyo yalikua majibu yake.
Ney amejibu ‘kama umesikia hiyo sawa, nitampa hiyo pole…. sijui
kuhusu yeye pia kulipwa kiinua mgongo, hayo unayongea wewe, mimi sijui
chochote… ongea mpaka mwisho umalize haya!!
Ili kusikiliza kila kitu bonyeza play hapa chini…
credit: millard ayo
Post a Comment