Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MHESHIMIWA MBUNGE WA CCM MH. ANNE KILANGO AMJIBU MENGI LIVE!!!

 


Mheshimiwa Mbunge Anne Kilango, muda mchache uliopita amejibu habari za Mkurugenzi wa IPP Mzee Mengi kupiga marufuku magazeti yake kuandika habari za Mbunge huyo na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola, kwa kuwa upande wa Waziri wa Madini na Nishati Prof. Muhongo katika vita ya Bilionea huyo na Waziri Muhongo, Mheshimiwa Kilango amesema:- "Kama habari hizi ni kweli, basi Mzee Mengi atakuwa amekosea kitu kimoja, mimi simuungi mkono Muhongo kama Muhongo, natetea Serikali ambayo ndio wananchi na wala sio vinginevyo" alimaliza na kukata simu!!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top