Wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Prof. Lipumba na wa Maalim Seif wamepigana nje ya Mahakama Kuu Jijini Dar es salaam wakati kesi ya Lipumba ikisikilizwa leo Nov 24.

- Huu ni mfululizo wa matukio yanayoashiria kuwa hali bado si shwari ndani ya Chama cha Wananchi(CUF) tangu Prof. Lipumba alipodai kurejea katika nafasi ya Uenyekiti.
Post a Comment