Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Watu 73 wakamatwa katika hifadhi ya kizigo wilayani Manyoni


misitu 
 
Na Salesi Malula-Manyoni
 
Watu 73 wamekamatwa wilayani manyoni katika hifadhi ya mbuga za wanyama ya Kizigo iliyopo wilayani manyoni ambapo watuhumiwa wanatarajiwa kupelekwa mahakamani kesho.
Akiongea na mwandishi wa habari hizi kamanda wa polisi wilayani Manyoni Hamisi mwanpelwa alisema watuhumiwa walikamatwa katika hifadhi ya kizigo wakiwa wanatafuta dhahabu ambayo inasadikiwa kuwa ipo katika hifadhi hiyo ambapo kuichimba hairuhusiwi kwa sababu iko ndani ya hifadhi.
Alisema watuhumiwa wote bado wanahojiwa na jumatano wanatarajia kupelekwa mahakamani ili waweze kujibu mashtaka yanayowakabili.
Alisema kwa watakaoweza wanatakiwa kulipa faini ya shiringi 200,000 na wtakaoshindwa kulipa watapelekwa mahakami kujibu mashtaka hay kwani watuhumiwa walikamatwa ndani ya hifadhi juzi jana waliletwa rasmi na tayari upelelezi umekamilika alisema kamanda mwampelwa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top