Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Angalia VIDEO ya madudu na virugu zilizotokea bungeni jana

 

Picture
jana kulitokea mvurugano Bungeni mara baada ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kutoa hoja yake, kitendo ambacho aliyekuwa akiongoza kikao hicho, Naibu Spika, Job Ndugai, alisema ameacha kiendelee ili Watanzania washuhudie.


Tafadhali bofya kifute cha pleya mojawapo kati ya mbili zilizopachikwa hapo, ili usikilize audio hii iliyorekodiwa jioni ya leo katika kipindi cha Yaliyotufikia cha WAPO FM radio.
Popout


Bungeni 4 Feb. 2013.mp3
File Size: 6027 kb
File Type: mp3
Download File

Picture
Picture
Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja kupinga hoja Bungeni
Picture
Naibu Spika Bunge,Mh. Job Ndugai (kulia) akionyeshwa makabrasha na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari muda mfupi baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge jana
Picture
Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Tundu Lissu (kulia} akijadiliana jambo na Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mh. Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa. (picha na Mwanakombo Jumaa - Maelezo.)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top