Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu
ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la
Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi
na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya
ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar
Augustino Shao.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia wananchi
wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya
Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu
wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya
Kaskazini B Unguja.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha
maombolezi ya Padri Evarist Gabriel Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini
Zanzibar,ambapo alifika kutoa salamu ya mwisho kwa Padri huyo,aliyefariki kwa
kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini
Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo
la Zanzibar Augustino Shao.
Post a Comment