Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NMB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 KWA WAHANGA WA BOMU ARUSHA

 

2
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano Biashara za Serikali NMB, Domina Feruzi kwa ajili ya wahanga wa bomu lililotokea hivi karibuni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph ikiwa ni msaada wa benki ya NMB.
viewer
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimshukuru Meneja Mwandamizi wa  Masoko na Chapa NMB Rahma Mwapachu baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka NMB kama msaada kwa wahanga wa bomu Arusha.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top