Washiriki wa
Redd’s Miss Kurasini 2013, wakimsikiliza mwalimu wao Kudra Lupatu wakati warembo
hao wakiendelea na mazoezi katika kambi yao iliyopo Equator Grill jijini Dar es
Salaam jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani kesho katika ukumbi huo
Baadhi ya
wanyange wanaowania taji la Redd’s Miss Kurasini 2013 wakiwa wakijifua kwa
kucheza wimbo wa ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa
Equator Grill wakijifua kwa shindano lao linalotaraji kufanyika katika ukumbi
huo kesho
Post a Comment