Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KANDA YA AFRIKA KUHUSU UWEZESHAJI WA VYAMA VYA SIASA, JIJINI DAR LEO.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, James Mbatia (katikati) na Katibu Mkuu wa CCM, Willson Mukama, baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top