Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2012 HAYA HAPA

 


WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa leo ametangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2012 uliofanyika nchini kote tarehe 19 na 20 Septemba, 2012.

Katika Mtihani huo Jumla ya wanafunzi 894,881 walisajiliwa kufanya mtihani huo ambapo wavulana ni 426,285 sawa na asilimia 47.64 na wasichana ni 468,596 sawa na asilimia 52.36. Aidha, kati ya wanafunzi hao, wapo wanafunzi 874,379 ambao walitarajiwa kufanya mtihani huo kwa lugha ya Kiswahili na wanafunzi 20,502 walitarajiwa kufanya kwa lugha ya Kiingereza ambayo ndiyo waliyoitumia kujifunzia.

Wanafunzi wasioona waliosajiliwa kufanya mtihani ni 92 wakiwemo wavulana 53 na wasichana 39. Watahiniwa wenye uono hafifu ambao huhitaji maandishi makubwa ni 495, kati yao wavulana ni 238 na wasichana ni 257.

Download Our App

7 comments

KINACHOSKITISHA PAMOJA NA KUTUMIA MFUMO MPYA WA OPTICAL MARK READER MBONA MATOKEO YAMECHELEWA NI TEGEMEO LETU WASIOJUA KUSOMA ,KUANDIKA NA KUHESABU HAWATAENDA SEKONDARI

Reply

mbna siyaoni mwenzenu matokeo ya la 7 2012

Reply

Matokeo ya 2012 darasa LA saba unaweza kuyapata jamani

Reply

Mbona matokeo hayaonekan kwann

Reply

Naomba matokeo PSLE 2012 kama yapo

Reply

Please!! We are asking you to keep for us standard seven result 2012

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top