|
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya Shirika la Bima
la Taifa toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake Bw. Justine Mwandu leo Ikulu
jijini Dar es salaam.
Shirika hilo
ambalo limefufuk upya linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake
mwakani.
|
|
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya kukabidhiwa na
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Justine Mwandu leo
Ikulu jijini Dar es salaam.
|
Picha na Ikulu.
on Thursday, December 20, 2012
1 comments:
Naomba matokeo dalasa lasaba izimbili
ReplyPost a Comment