Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA, LIBERATUS BARLOW

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji ndugu wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu, Dkt. Bilal (kushoto) Said Mwema na Kamanda Mstaafu, Mahita, wakiwa katika msiba huo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top