Kampuni
ya simu za mkononi Airtel, wametuma salamu za rambirambi kwa Familia, ndugu,
jamaa na marafiki wa Marehemu kutokana na msiba huu mzito
uliowafika.
Ni
baada ya kupinduka mara kadhaa na kutulia katika mti huu.
Jinsi
gari hilo lilivyo haribika baada ya ajali hiyo.
ajali
hiyo karibu kabisa na barabara.
Baadhi
ya wakazi wa eneo hilo wakitazama mabaki ya gari aina ya
Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiliendesha Sharo
Milionea lililopinduka na kumsababaishia umauti.usiku wa kuamkia
jana.
Post a Comment