Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BASI LA ABOOD LAPATA AJALI NA KUUA MTU MMOJA





Hivi ndivyo basi La Abood lilivyo pata ajali baada ya kugongana na Kenta


Basi la Abood


Hivi ndivyo Basi Lilivyo Haribika


Haya ni mambaki ya Vioo vilivyo vunjika






Baadhi ya vitu vikiwa vimemwagika chini




Hili ni Scania ambalo lilikuwa likitokea Zambia





Dirisha likiwa lililovunjika



Baadhi ya Abiria wakiwa wanapata maelekezo kutoka kwa polisi


picha zote ni kutoka www.mbeyayetu.blospot.com


 
 
 
BASI LA ABOOD LENYE USAJILI WA NAMBA T 545 AZE LIMEPATA AJALI MAENEO YA SAE SEHEMU MAARUFU KWA JINA LA KWA MBILINYI LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA TUNDUMA. AJALI HIYO IMETOKEA BAADA YA LORI LA MIZIGO AINA YA SCANIA LIKIWA LIMETOKEA ZAMBIA KUELEKEA DAR WAKATI WA KUTAKA KUPISHANA NA BASI HILO, NA NDIPO GARI AINA YA KENTA IKAJITOKEZA NA KUJICHOMEKA BARABARANI NA KUSABABISHA AJALI HIYO.


KATIKA AJALI HIYO MTU MMOJA AMBAYE ANAITWA CHALE KITELEKE AMBAYE PIA ALIKUWA NDIYE KONDA WA BASI HILO AMEFARIKI PAPO HAPO, PAMOJA NA MAJERUHI NANE AMBAO WAMEKIMBIZWA HOSPITALINI .
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top