Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Dkt.Shein Arejea Toka Vietnam


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akivishwa Shada la Mauwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar akitokea Vyetnam kwa ziara ya siku Nne.
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akijibu maswali mbalimbali alioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara yake ya Vyetnam iliochukua muda wa Siku Nne.hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top