Kama kuna jambo
linalokera katika mahusiano ya ndoa ni kwa mwanaume kufika mwisho wa safari
mapema sana. Ni jambo linalomkera mwanamke lakini nadhani mwanaume ndiyo
wanakerwa zaidi. Wengine wamefikia hatua mbaya kiasi kwamba jamaa anashtukia
amemaliza safari kabla ya kuanza. Sasa katika uchunguzi na pitapita nimeweza
kupata ujuzi unaoweza kusaidia kupunguza hali hii. Najua zipo dawa{kemikali}
zinazopakwa kwenye kichwa cha yule jamaa,lakini ni vizuri kutumia mbinu za
asilia zisizotumia kemikali ili kuepuka madhara ya muda mrefu.......Mbinu
zifuatazo zinaweza kusaidia
Punguza
hisia kali na elekeza akili yako katika kumuandaa mwenzio.
Ondoa
mawazo/hisia inayokuelekeza kutaka kumwagia kitu kwenye lile eneo nyeti. Hisia
hii unaweza ukaizuia na ukairejesha wakati muafaka.
Epuka kupumua au kuhema kama dume la bata, yaani
unapoendelea na mchezo usipumue systematically au consistently. Mara kwa mara
jitahidi kukata pumzi, kuzuia hewa isiingie. Hii itakupatia stamina ya kusonga
mbele zaidi na zaidi.
Anza na
sehemu ambayo haikuhamasishi sana halafu malizia na ile ambayo sekunde moja tu
safari inaisha.
Kwa
wanaotumia "kifo cha mende" usijilaze juu ya mwenzio kama gunia yaani weight
yako yote ina-fall kwa mwenzio. Ukibweteka hivyo huchukui raundi ulimi nje..
Unatakiwa kum-hold mwenzio kama wanavyofanya wasanii wa sarakasi..
Kadri unavyotumia mbinu hizi ndivyo
unavyoongeza muda wa kufika mwisho wa safari
Chanzo: UjanaTz
on Saturday, November 10, 2012
Post a Comment