Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KOMBE LA CHALENJI KUANZA KURINDIMA LEO

 
ILE michuano mikubwa kuliko yote katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati, Kombe la Chalenji, inaanza kutimua vumbi leo nchini Uganda ambapo jumla ya timu 12 zinatarajiwa kuonyeshana kazi katika michuano hiyo.
Timu hizo ni pamoja na Burundi, Ethiopia, Eritrea, Kenya, Malawi, Rwanda, Somalia, Sudan ya Kusini, Tanzania, Sudan, Zanzibar na Uganda, ambao ndio mabingwa watetezi.
Tanzania Bara “Kilimanjaro Stars” imepangwa kuanza kampeni yake kesho Jumapili dhidi ya Sudan.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top