
Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba akitoa hotuba ya kufungua rasmi mkutano huo leo jijini Dar es Salaam ambapo amelitaka shirika hilo kutafuta mbinu mbadala za kupambana na changamoto zinazolikabili.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania Bw. Deos Khamis Mndeme akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mh. Naibu waziri kufungua mkutano wa 21 wa Baraza kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta.
Pichani Juu na Chini ni baadhi ya wajumbe wa Baraza na wageni waalikwa waliohudhuria ufunguzi huo.
Mgeni rasmi Mh. January Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti, wajumbe wa Bodi ya shirika la Posta pamoja wajumbe wa baraza kuu la wafanyakazi.






Post a Comment