![]() |
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiongoza Mkutano Mkuu wa Nane,Kizota Dodoma leo. |
![]() |
Kapteni John Komba akiimba mbele ya Wajumbe kutoka mikoa mbali mbali. |
![]() |
Ukumbi wa Kizota ukiwa umefurika wajumbe kutoka kona mbali mbali. |
![]() |
Wageni walikwa wakifuatilia kwa makini Mkutano Mkuu wa nane wa CCM |
![]() |
| Agustino Mrema akifuatilia kwa makini yanayojiri wakati wa Mkutano wa CCM, Kizota, Dodoma leo. |
![]() |
Ukumbi ukiwa umefurika wananchama na wajumbe wa Chama. |
![]() |
Waalikwa kutoka vyama vya upinzani. |
Masanduku ya Uchaguzi yakionyeshwa kwa wapiga kura muda mfupi kabla ya kuanza zoezi la kupiga kura.
![]() |
Mjumbe akipiga kura ya viti kumi Zanzibar |
![]() |
Wageni walikwa wakifuatilia kwa makini Mkutano Mkuu wa nane wa CCM |
![]() |
| Agustino Mrema akifuatilia kwa makini yanayojiri wakati wa Mkutano wa CCM, Kizota, Dodoma leo. |

Post a Comment