Aliyekuwa mfanyakazi wa Hoteli ya Yamiyami iliyoko
mtaa wa Ohio jijini Dar es salaam Bw.Adrian Francis akitoa maelezo kwa waandishi
wa habari juu ya kunyanyaswa na kufukuzwa kazi pamoja na kutopewa haki zake za
msingi kutoka kwa mwajiri wake ajulikane kwa jina Fariha Guriti ambaye ndiye
mmiliki wa Hotel hiyo ambapo Bw.Adrian Francis katika harakati zake za kudai
haki zake leo alijikuta anaambuli kipigo kutoka kwa ndugu wa mliki wa Hotel
hiyo aliejulika kwa jina Abdul mwenye uraia wa kisomali kwa upande wake mmiliki
wa hotel hiyo alikataa kutoa ushirikikiano kutoka kwa waandishi wa habari na
kuhatarisha uhai wa maisha yao kwa kutaka kuwagonga na gari ili apoteze ushaidi
wa picha.
Ndugu
wa mliki wa Hotel hiyo aliejulika kwa jina Abdul mwenye uraia wa Kisomali katika
akiwa chini ya ulinzi baada ya kumjeruhi Bw.Adrian Francis aliyekuwa
mfanyakazi wa hoteli hiyo



Post a Comment