![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Chipukizi ,tayari kufungua kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma. |
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na chipukizi alipowasili Makao Makuu ya Chama leo Dodoma. |
![]() |
| Pandu Amir Kificho spika wa Baraza la Wawakilishi akijadiliana jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,Anna Makinda, kushoto ni Kapteni John Chiligati. |












Post a Comment