Vyombo vya habari vingi barani ulaya vimeripoti
kwamba Cristiano Ronaldo ametoa msaada wa €1.5 million kwa watoto wa mji wa
Gaza. Lakini ukweli ni kwamba msaada huo umetoka kwa Real Madrid foundation
ambao walichangisha kiasi hicho kutokana na mauzo kiatu cha dhahabu alichoshinda
Ronaldo msimu wa 2010-11.
Mwaka jana Mreno huyo aliuza viatu vyake vingi
vya michezo na fedha zilizopatikana alizitoa kwa Real Madrid Foundation ambao
wakazipeleka kwa shule za watoto huko Gaza.
Real Madrid Foundation
imesaidia kujenga shule 167 katika nchi 66 tofauti.
Mwaka jana Mreno huyo aliuza viatu vyake vingi vya michezo na fedha zilizopatikana alizitoa kwa Real Madrid Foundation ambao wakazipeleka kwa shule za watoto huko Gaza.
Real Madrid Foundation imesaidia kujenga shule 167 katika nchi 66 tofauti.



Post a Comment