NDGSHILATU BLOG INAPENDA KUMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE, MAKAMU MWENYEKITI BARA, PIUS MSEKWA; MAKAMU MWENYEKITI, ZANZIBAR, AMAN ABEID KARUME; KATIBU MKUU, WILSON MUKAMA SAMBAMBA NA WAJUMBE WOTE WA SEKRETARIETI YA CCM KWA KAZI NZURI WANAYOENDELEA KUIFANYA YA KUENDELEA KUKIIMARISHA CHAMA.
NDSHILATU BLOG INAUTAKIA KILA LA KHERI MKUTANO MKUU WA CHAMA WA NANE NGAZI YA TAIFA.
"KWA MSHIKAMANO NA UMOJA, CCM ITAENDELEA KUTAWALA"
Imetolewa na:
EMMANUEL JOHN SHILATU
Kada wa CCM
Loading...
Home » Unlabelled » SALAMU ZA PONGEZI KWA MWENYEKITI WA CCM, DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KUTOKA KWA EMMANUEL JOHN SHILATU
Post a Comment