|
Kocha wa
Tanzania, Mdenmark, Kim Poulsen akihamaki wakati dakika zikiyoyoma, huku timu
yake ikiwa imelala 1-0 katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika
Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Burundi, Uwanja wa Mandela,
Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda
1-0. |
|
Mbunge wa
Kondoa, Juma Nkamia (kushoto) akiwa na Mjumbe wa TFF, Wallace Karia wakifuatilia
mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker
Challenge kati ya Tanzania na Burundi Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu.
Burundi ilishinda 1-0. |
|
Kikosi
cha Stars leo |
|
Mshambuliaji
wa Tanzania, Simon Msuva akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Burundi katika
mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker
Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda
1-0. |
|
Mshambuliaji
wa Tanzania, Simon Msuva akijaribu bila mafanikio kumfunga kipa wa
Burundi,Arthur Arakaza katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika
Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku
huu. Burundi ilishinda 1-0. |
|
Mshambuliaji
wa Tanzania, Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B,
Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa
Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda

Kiungo wa
Tanzania, Frank Domayo akimdhibiti kiungo wa Burundi katika mchezo wa Kundi B,
Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa
Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda
1-0. |
|
Mshambuliaji
wa Tanzania, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B,
Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa
Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda
1-0. |
|
Mshambuliaji
wa Tanzania, John Bocco akiruka juu lupiga mpira kichwa mbele ya mabeki wa
Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati,
CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi
ilishinda 1-0. |
|
Mashabiki
wa Tanzania wakishangilia bila kukata tamaa |
on Thursday, November 29, 2012
Post a Comment