Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda
akizungumza na wafanyakazi paomja na wastaafu wakati wa kuwaaga wastaafu hao
katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge jana. Jumla ya wastaafu 12
waliagwa baada ya kulitumikia Bunge kwa muda mrefu.
Wastaafu wakisimama kwa heshima kubwa kumpokea Mhe. Spika.
Spika Makinda akimkabidhi mstaafu Makame cheti maalumu cha kutambua utumishi wake.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akiwapongeza wastaafu hao. Kushoto kwa Katibu wa Bunge ni Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. John Mchenya.
Uongozi wa Bunge ukiwa na wastaafu hao.
Ni wakati wa kulisakata rhumba

Post a Comment