Polisi mjini Cairo-Misri,
wanasema wamegundua gengi la watu wanaouza watoto ambalo linafikiriwa kuwa
limeuza watoto wachanga 300.
Wauguzi wawili na daktari
wa zahanati moja mjiniCaironi kati ya wale waliokamatwa, na polisi wanasema bado
wanamsaka meneja wa zahanati hiyo.
Inadaiwa kuwa wafanyakazi
hao wa matibabu wamepasuwa waja wazito wasiotaka kuzaa, na kuwatoa watoto
wachanga ambao waliwauza kwa familia zisokuwa na watoto.



Post a Comment