Waziri wa Maji, Prof. Jumanne
Maghembe (mwenye miwani,) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi Mkubwa wa
Maji Vijijini katika Kata ya Endagile Babati Kijijini Jumatano wiki hii. Kulia
kwa Mhe. Waziri ni Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Jeetu
Soni.
Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (mwenye miwani,) akifunua pazia kuashiria
uzinduzi wa Mradi Mkubwa wa Maji Vijijini katika Kata ya Endagile Babati
Kijijini Jumatano wiki hii. Kulia kwa Mhe. Waziri ni Mbunge wa Babati Vijijini
Mhe. Jeetu Soni.
Waziri wa Maji
Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akimtishwa ndoo ya Maji Fatuma Maulid baada ya
kuzindua Mradi Mkubwa wa Maji Vijijini. Wa kwanza kushoto ni Diwani wa Kata hiyo
Mhe. Nicodemus Tarmo.



Post a Comment