Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna (wamwanzo kulia)akitoa hotuba katika sherehe za kukabidhiwa Madarasa 17yaliofanyiwa Ukarabati pamoja na Madawati180yaliotengenezwa ikiwa ni msaada kutoka Shirika la Maendeleo la KOICA kutoka Korea,kwa ajili ya Skuli ya kukabidhiwa Madarasa 17yaliofanyiwa Ukarabati pamoja na Madawati180yaliotengenezwa Chuini ilio kaskazini Unguja kushoto yake ni Meneja wa Shirika la KOICA Seung Beom Kim.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akimkabidhi Cheti cha Shukurani na Ushirikiano Meneja wa Shirika la KOICA kutoka Korea Seung Beom Kim.katika Hafla ya Sherehe za kukabidhiwa Madarasa 17yaliofanyiwa Ukarabati pamoja na Madawati180yaliotengenezwa na Shirika hilo kwa ajili ya Skuli ya Chuini ilio kaskazini Unguja

Post a Comment