Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifungua Mkutano
baina ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na wajumbe wa Kamati za Michezo za
Mikoa Tanzania Bara “Ma-RAS” (hawapo pichani) Jijini Dar es Salaam.Mkutano huo
unalengo la kujadili maendeleo ya Michezo nchini.
Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akisalimiana na RAS
wa Njombe mara baada ya kufungua kufungua Mkutano baina ya Baraza la Michezo la
Taifa (BMT) na wajumbe wa Kamati za Michezo za Mikoa Tanzania Bara Ma-RAS Jijini
Dar es Salaam.Mkutano huo unalengo la kujadili maendeleo ya Michezo nchini.
(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).
Post a Comment