Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Fionnuala Gilsenan,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkaribisha Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Fionnuala Gilsenan,mara baada ya kuwasili Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana na Rais.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
Post a Comment