Balozi wa
Jamhuri ya watu wa China Mhe. Lu Youiqing akitoa maelezo mafupi kabla ya
kumkabidhi Mhe. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella
Mukangara( kulia) vifaa vitakavyosaidia katika sekta ya
Utamaduni.
Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akijaribu moja ya
Vifaa alivyopokea kwa niaba ya Serikali kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa
China ikiwa ni kudumisha na kuendeleza ushirikiano baina ya Serikali ya Tanzania
na China.Vifaa hivyo vitasaidia katika sekta ya Utamaduni, anaeshuhudia ni
Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youiqing. Picha na Benjamin
Sawe




Post a Comment