Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakitumbuiza
wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek uliofanyika
katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Krismasi jijini Dar es
Salaam. Bendi hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabibo Wine kupitia kinywaji chake
cha Windhoek. (Picha na Habari Mseto Blog)
Kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El
Sadati (kushoto) akiwaongoza wanamuziki wa bendi hiyo wakati wa promosheni ya
bia ya Windhoek iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade
Wacheza shoo wa FM Academia wakifanya vitu vyao
jukwaani
Baadhi ya mashabiki wa FM Academia wazee wa
Ngwasuma wakiselebuka
Post a Comment