Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JAPAN YATOA FEDHA KWAAJILI YA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANA ZOGOWALE SEKONDARI WILAYANI KIBAHA

 

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani Pwani,Tatu Mwamballa akibadilishana hati za makubalkino na Ofisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Kazuyoshi Matsunaga baada ya kutiliana saini Mkataba wa Makubaliano ya kuisaidia shule hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni 122,614 kwaajili ya ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani Pwani, Tatu Mwamballa (kushoto) Ofisa wa Balozi wa Japan nchini Tanzania, Kazuyoshi Matsunaga na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Halima Kihemba wakijadili jambo wakati wa kutiliana saini Mkataba wa Makubaliano ya kuisaidia shule hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni 122,614 kwaajili ya ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani Pwani,Tatu Mwamballa akitiliana saiani hati za makubalkino na Ofisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Kazuyoshi Matsunaga Mkataba wa Makubaliano ya kuisaidia shule hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni 122,614 kwaajili ya ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo.
Kazuyoshi Matsunaga akizungumza na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Zogowale
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani Pwani,Tatu Mwamballa na Ofisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Kazuyoshi Matsunaga wakipiga picha na baadhi ya wanafunzi ya Wshule ya Zogowale baada ya kutiliana saini Mkataba wa Makubaliano ya kuisaidia shule hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni 122,614 kwaajili ya ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top