
Habari hii nimeipata katika mtandao mmoja, ya kwamba
kuna Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki
kunapunguza uwezekana wa kupata Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50%
ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima
bila kupiga mambo
yetu. Pia utafiti huo unasisitiza ya kwamba mwenye Kufanya Mapenzi kila
siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100% Duh hii
kaliii!!!!
Mmeona sasa, kumbe si kwa ajili ya kulinda Ndoa zetu na
kuzijenga nyumba zetu peke yake, duh... Raha zetu wenyewe na Magonjwa
tunajikinga nayo! kweli hii starehe ya Maskini na Tajiri!
chanzo: Sasambua Blog
on Sunday, December 23, 2012
Post a Comment