Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe
Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu
(wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao
na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo
inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi
sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao
hao.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Duniani Leo2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment