Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati
wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya
Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo
Desemba 20, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Waziri wa Ujenzi, Dkt.
John Magufuli, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiri uwekaji wa Jiwe la Msingi
katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada
Estate, jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika
leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mtendaji Mkuu
wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga, wakati akitembelea kukagua
maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la
Ada Estate, jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi
katika Ujenzi wa jengo hilo leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo na
kuonyeshwa Ramani ya Jengo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)
Elius Mwakalinga, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa
Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar
es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya sanamu
la Kinyago cha Umoja, kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania
(TBA) Elius Mwakalinga (kulia) na Mwenyekiti wake, Edward Ngwalle, (wa pili
kulia) wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za
Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam,
leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika Picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa TBA, baada ya hafla hiyo ya
uwekaji wa jiwe la msingi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa
Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akiondoka eneo la Ada Estate, baada ya kuweka
Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo
eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo.
Post a Comment