Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt.
Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku
Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha
Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
Baadhi
ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri
kutunukiwa.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la
(I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa sherehe ya kutunuku
Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la
(I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa sherehe
ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la
(ii), Ruth Rashid- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku
Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Bi Fatma Baraka Khamis
(Bi Kidude)-BASADA, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana
kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Bi
Kidude, akiwa katika pozi baada ya kuvishwa Nishani yake na Rais Kikwete, huku
akiimba wimbo wake wa Laiti, kwa poooozi.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Muhidin Mwalimu
Gurumo-Habari,Utamaduni na Michezo, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani,
iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utunzaji Mazingira daraja la (I) Bw.
Reginald Abraham Mengi_Kamati ya Nishani, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani,
iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam.
Bw.
Mengi akifurahia Nishani yake na kupozi kwa picha na Rais Jakaya Kikwete, baada
ya kutunukiwa.
Post a Comment