KAULI MBIU YA MWAKA HUU
PICHA YA RAIS JAKAYA KIKWETE
TANZANIA IPO IMARA KATIKA KUHAKIKISHA AMANI, ULINZI NA USALAMA KWA RAIA WAKE UNAKUWEPO. PICHA NA www.ndgshilatu.blogspot.com
TANZANIA INAPINGA VIKALI MALALIA
WANANCHI WANAHIMIZWA KUZINGATIA UZAZI WA MPANGO
HAPA WANAHIMIZWA UMUHIMU WA MAZIWA YA MAMA KWA MTOTO
TANZANIA IMEBARIKIWA UTAJIRI WA MALI ASILI KAMA AMBAVYO MLIMA KILIMANJARO NA WANYAMA WANAVYOONEKANA AMBAO NI VIVUTIO VYA UTALII
TANZANIA INAAMINI KWENYE MAPINDUZI YA KIJANI KUPITIA KILIMO KWANZA
BANO HILI LIKIONYESHA MITANBO YA KUZALISHIA UMEME (KUSHOTO) NA VIWANDA VYA NGUO (KATI NA MWISHO). TANZANIA INAHESHIMU UWEKEZAJI NA MAENDELEO YA VIWANDA NCHINI
KISWAHILI NDIO LUGHA YA TAIFA LETU
BENDERA YA TAIFA
HAKIKA MAUMBO YA VITABU YALINOGESHA SANA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANZANIA BARA. HABARI NA PICHA NA EMMANUEL SHILATU WA www.ndgshilatu.blogspot.com
Post a Comment