HABARI
ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA MBUNGE WA ZAMANI WA TABORA MJINI SIRAJU JUMA
KABOYONGA AMEFARIKI DUNIA GHAFLA SAA NNE USIKU WA
KUAMKIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
MAREHEMU
KABOYONGA ANATARAJIWA KUZIKWA SIKU YA ALHAMISI NA MSIBA UKO NYUMBANI KWAKE
SINZA, JIJINI DAR ES SALAAM..
KWA
HABARI ZAIDI ZITAWAJIA BAADAYE KUPITIA HAPAHAPA NDGSHILATU BLOG .... Endelea kuwa nasi ....
Post a Comment