Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na mkewe Tunu Pinda wakiwa wana jumuika na waumini na wageni wa mkoa wa katavi katika ibada ya Krismass ambayo imefanyikia katika kanisa la katoliki Kibaoni Katavi aliyekulia kwa Waziri mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Kavi Dr Rajabu Rutengwe.(picha na Chris Mfinanga).
 
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisheherekea krismass akiwa anacheza rhumba na katibu wa UWTwilaya ya Mpanda Mh Theodora Romad kushoto kwa Waziri Mkuu ni mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr Rajabu Rutengwe akiwa na mkewe wakijumuika katika kusherekea krismass katika kijiji cha kibaoni Katavi.
 
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na mkewe Tunu wakicheza twisti pamoja na wajukuu zao wakati wa sherehe ya krismass aliyo andaa Waziri mkuu kwa ajili ya kusherehekea na wana kijiji wenzake wa kibaoni Katavi.