
Jocelyne
Maro Mtanzania wa kwanza kushinda taji hilo toka lililpoanzishwa
amejinyakulia zawadi zenye tmamani ya dola za kimarekani 30,000 likiwemo
Gari aina ya Toyota Verossa, mara baada ya majaji kumtangaza mrembo
huyo ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe huku watu mbalimbali
wakimpongeza kwa ushindi wake.
(PICHA NA KAMANDA WA FULLSHANGWEBLOG)






Post a Comment