Meneja wa benki ya NMB tawi la
NMB House Bi. Benedictor Byabyato (kulia) akikabidhi madawati 25 yenye thamani
ya shilingi milioni 5 kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Victoria Bw. Sufini
Mbwambo iliyopo Dar es Salaam wiki iliyopita.Aanayeshuhudia tukio hilo ni Afisa
wa tawi la NMB House Jane Mubezina pamoja na mmoja wa maafisa wa
Elimu.
Meneja wa tawi la NMB House Bi. Benedictor
Byabyato (kulia) akiwa pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Victoria
pamoja na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bw. Sufini Mbwambo (kulia) wakati wa
makabidhiano ya madati yenye thamani ya shilingi milioni 5, jijini Dar es
Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi
Victoria wakiimba nyimbo kushukuru benki ya NMB kwa msaada wa madawati waliyotoa
shuleni hapo
on Monday, December 10, 2012
Post a Comment